Sunday, November 29, 2020

YANGA: TUTAITETEMESHA AFRIKA NZIMA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA EZEKIEL TENDWA

KAMA ulidhani dozi za Yanga zinaishia Ligi Kuu Tanzania Bara, utakuwa hujui mipango ya Wanajangwani hao kwani wenyewe wamedhamiria kulitikisa Bara la Afrika watakaposhiriki Ligi ya Mabingwa inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki inayoanza kesho.

Katika ligi kuu, mabingwa hao watetezi ndio wanaoongoza wakiwa na pointi 49, huku wakitoa dozi za kutisha kwa kila timu inayojichanganya na kuingia kichwakichwa kwao na sasa wamesema silaha zao wanazielekeza kimataifa zaidi.

Kwa sasa Wanajangwani hao wanajiandaa na mchezo wa awali dhidi ya Ngaya ya nchini Comoro, mchezo utakaochezwa Februari 12 mwaka huu, yaani mwishoni mwa wiki hii ambapo wametamba kuibuka na ushindi mnono licha ya kwamba watakuwa ugenini.

Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwassa, ambaye ni moja ya watu wanaoheshimika ndani ya kikosi hicho, ameliambia BINGWA wao kama uongozi wameweka mambo yote sawa na kwamba mashabiki wao wasiwe na wasiwasi wowote.

“Mipango inakwenda vizuri kabisa, sisi kama uongozi tunashirikiana kwa ukaribu na benchi la ufundi kuhakikisha hii kasi iliyopo ligi kuu tunaihamishia kimataifa, naamini msimu huu utakuwa mzuri zaidi kwetu,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -