Sunday, November 29, 2020

YANGA WAIPIGA BAO SIMBA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MWANDISHI WETU,

SIMBA kwa sasa wanaongoza katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini Yanga, ambao wanawafuatia, wameonekana kuwa na safu kali ya ushambuliaji.

Kutokana na msimamo wa ligi hiyo, Simba wanaongoza baada ya kufikisha pointi 41, baada ya kucheza michezo 17 sawa na Yanga, lakini safu yao ya ushambuliaji inaonekana ni butu, baada ya kufunga mabao 29.

Yanga wanaonekana kuwapiga bao Simba kwa kuwa na washambuliaji wembe, wakiongozwa na Donald Ngoma, Amissi Tambwe na Simon Msuva.

Lakini Simba wanaonekana kuwa na ukuta mzuri kwa kuwa wameruhusu mabao sita, huku Yanga wakiwa wamefunga mabao 35 na mabeki wao kuruhusu mabao tisa.

Azam, ambao wenyewe wanashika nafasi ya tatu kutokana na pointi 28, wamefunga mabao 17 na nyavu zao zikitikiswa mara 16.

JKT Ruvu, waliocheza michezo 17, wanaburuza mkia kutokana na pointi 13, baada ya kupoteza michezo nane, wakitoka sare mara saba na kushinda miwili.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -