Wednesday, October 28, 2020

Yanga yaitisha mkutano wa dharura

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA HUSSEIN OMAR

KLABU ya Yanga imeitisha Mkutano Mkuu wa Dharura ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 23, mwaka huu, huku ajenda wala eneo ambalo mkutano huo utafanyika likiwa halijawekwa wazi.

Akizungumza na BINGWA, Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit, alisema siku chache kabla ya mkutano huo, wanachama watajulishwa juu ya ajenda na sehemu ambayo unatarajiwa kufanyika.

“Klabu ya Yanga inapenda kuwatangazia wanachama wote wa Yanga kuwa Oktoba 23, mwaka huu, kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Dharura, tunaomba wanachama wote wafike bila kukosa,” alisema Baraka.

Baraka alisema mkutano ni muhimu, hivyo wanachama wote wanaoitakia mema klabu hiyo ni vyema wakafika ili kujadili masuala mbalimbali yenye maslahi mapana kwa timu yao.

Pamoja na Baraka kushindwa kuweka wazi ajenda za mkutano huo, lakini BINGWA lina taarifa kuwa moja ajenda itakayojadiliwa katika mkutano huo ni kuwapa wanachama tafsiri ya mkataba wa kuikodisha nembo ya timu hiyo kwa miaka 10, ambao klabu hiyo imeingia na Kampuni ya Yanga Yetu Limited.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -