Friday, October 23, 2020

YANGA YAPETA TENA AFRIKA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA MWANDISHI WETU

YANGA ni kama imepita tu katika hatua ya awali ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kupangiwa timu ya Ngaye de Mbe ya Comoro katika mchezo wa awali ambao Yanga itaanzia ugenini mwezi Februari mwakani.

Kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa jana na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mchezo wa kwanza baina ya Yanga na timu hiyo ya Comoro utapigwa kati ya Februari 10, 11 na 12, wakati mechi ya marudiano itakayochezwa jijini Dar es Salaam itachezwa kati ya Februari 17 na 19 jijini Dar es Salaam.

Ratiba hiyo inaonesha kwamba kama Yanga itavuka katika hatua hiyo, itakutana na ama APR ya Rwanda au Zanaco ya Zambia kwani timu hizo pia zitachuana katika hatua ya awali na kama Yanga ikishinda mechi ya raundi ya kwanza dhidi ya APR au Zanaco huenda ikakutana na Zamalek ya Misri au mabingwa watetezi wa taji hilo, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

Katika hatua nyingine wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, Azam FC wao wataanza kibarua chao katika raundi ya kwanza kwa kusubiri mshindi kati ya timu ya Opara United ya Botswana na Mbabane Swallows ya Swaziland.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -