Monday, November 23, 2020

YANGA VS KILUVYA: NILINDE HESHIMA, NIJENGE JINA LEO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SALMA MPELI,

YANGA inashuka dimbani leo kuumana na Kiluvya United katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya Kombe la FA utakaopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Yanga ilitinga hatua hiyo ya 16 bora  baada ya kuifunga Ashanti United mabao 4-1wakati  Kiluvya ilipenya baada ya kuichapa Ruvu Shooting mabao 2-1.

Tayari kikosi cha Yanga kimewasili jana jijini Dar es Salaam kikitokea Morogoro, ambapo kilikwenda kuivaa Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na kulazimishwa suluhu ya 0-0.

Kati ya timu 16 zilizofuzu hatua hiyo, 13 zinashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.

Yanga ndiyo bingwa mtetezi wa michuano hiyo baada ya kuifunga Azam FC katika hatua ya fainali.

Bingwa wa michuano hiyo ataiwakilisha nchi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hapo mwakani.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -