Tuesday, October 20, 2020

YEFIMOVA ATAFAKARI KUJITOSA OLIMPIKI 2024

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

MOSCOW, Urusi


BINGWA mara tano wa michuano ya kuogelea ya Olimpiki, Yuliya Yefimova, amesema kwamba kwa sasa  bado anatafakari kama atashiriki fainali za 2024.

Staa huyo aliyasema hayao juzi katika mahojiano na Shirika la Habari la Urusi (TASS) na akasema kwamba kwa sasa bado ni mapema kutangaza nia hiyo.

 “Nitaogelea kwa miaka mingine kadhaa baada ya kumalizika michuano ya Olimpiki 2020 itakayofanyika mjini Tokyo,” alisema staa huyo. “Lakini ngoja tuone pengine naweza kuamka kesho nikasema kwani hii ipo juu yangu na mazingira yalinizunguka,” aliongeza staa huyo.

Alisema kwamba kwa sasa hafikirii kwenda mahali kokote kutokana na kuwa michuano hiyo ipo karibuni na kwamba mpaka sasa hakuna anayefahamu kama kuna mashindano ya mwaka 2024.

 

   

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -