Monday, November 30, 2020

YOUNG D, TUNDA WARUDIANA, AMBER LULU ATOSWA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

RAPA David Genzi ‘Young D’, amerudiana na mpenzi wake ambaye ni muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian, huku akimpiga chini mrembo aliyejipatia umaarufu kwa siku za karibuni Amber Lulu.

Young Dee na Amber Lulu walikuwa na mahusiano ya kimapenzi baada ya rapa huyo kuachana na mpenzi wake Tunda.

Lakini hivi karibuni, Young Dee ametumia ukurasa wake wa Instagram kuweka picha ya Tunda kuashiria wawili hao kwa sasa wako pamoja.

Licha ya picha hizo, pia Young Dee alitumia ukurasa wake wa Instagram kuandika: “Kwamba maisha yamekuwa magumu kiasi kwamba kuna watu wameamua kuachana kabisa na maisha yao na kuanza kujadili ya watu wengine,” aliandika.

Ujumbe huo uliwaibua mashabiki wake ambao wengi walimshauri kuacha maneno ya watu na kufanya kile ambacho kipo kwenye moyo wake.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -