Friday, October 30, 2020

ZAHERA AMPA KAZI MAALUMU MWANDILA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ZAITUNI KIBWANA


LICHA ya kuwa yupo nchini kwao Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwenye majukumu ya timu ya Taifa, Kocha wa Yanga SC, Mwinyi Zahera, ameonekana hataki mzaha kabisa kwa sasa baada ya kumwagiza msaidizi wake, Noel Mwandila, kuhakikisha  anaendelea kuwajenga vijana hao kimbinu na stamina.

Zahera ambaye amerithi mikoba ya George Lwandamina, alisema  ana imani Mwandila ataweza kuendeleza programu hiyo aliyoiacha.

“Nimemwambia ahakikishe anawajenga wachezaji kimbinu na stamina nitakaporejea tuweze kuendelea, nina imani ataweza,” alisema.

Walitarajiwa kuondoka jana kwenda nchini Liberia kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika Cameroon mwaka 2019.

“Tunaondoka leo (jana) kwenda Liberia, ila nikimaliza tu narejea na majukumu yangu kama kawaida, hivyo mashabiki wa Yanga wasiwe na wasiwasi,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -