Friday, October 23, 2020

ZAHERA ARUSHA DONGO SIMBA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA WINFRIDA MTOI


WAKATI Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, akipewa kazi maalumu ya kufuatilia mechi za Yanga, Kocha Mkuu wa Wanajangwani hao, Mwinyi Zahera, amesema hana wasiwasi na hilo kwani tayari ameshajua cha kufanya wakongwe hao wa soka nchini watakapokutana.

Simba na Yanga zinatarajia kukutana katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, msimu wa 2018/2019 kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Septemba 30, mwaka huu.

Djuma ambaye ameachwa katika safari ya Mtwara Simba walikokwenda kucheza na Ndanda, pia juzi hakwenda Mwanza wakati Wekundu wa Msimbazi hao walipocheza na Mbao FC.

Akizungumza na BINGWA jana, Zahera alisema hana hofu kama kuna wanaomfuatilia yeye na timu yake kwa sababu mipango ya mechi zake anaipanga mwenyewe na jinsi gani atacheza na Simba anafahamu.

Alisema hawezi kuwa na presha au kufuatilia mechi za wapinzani wao pamoja na kutafuta ushauri kwa mtu yeyote juu ya mchezo huo kutokana na kuuona wa kawaida kama mingine waliyocheza.

“Sina ulazima wa kumwambia mtu afuatilie mechi halafu anipe ushauri kwa sababu tu nacheza na Simba, kitu hicho siwezi kufanya, Simba si timu kama nyingine.

“Mbona nimecheza na Mtibwa Sugar, Stand United na Coastal Union na nimepata matokeo niliyohitaji na sijaomba ushauri wa mtu yeyote zaidi ya kuwaandaa wachezaji wangu vile ninavyojua mimi?” alihoji Zahera.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -