Thursday, October 29, 2020

Zahera awapa Simba taji mapema

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ZAINAB IDDY

BAADA ya Gwambina kufungwa mabao 3-0 na Simba  katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam,  Mkurugenzi  wa timu hiyo,  Mwinyi Zahera,  amesema Wekundu wa Msimbazi  walikuwa ubora  zaidi yao.

Akizungumza na BINGWA Dar es Salaam jana, Zahera alisema kikosi cha msimu huu  cha Simba ni bora kuliko  msimu uliopita na kinaweza kutwaa taji la nne mfululizo.

Zahera alisema tangu afanye kazi katika mpira wa Tanzania,  msimu huu amekiona kikosi cha Simba kwenye kiwango bora zaidi.

“Kwa timu za Ligi Kuu hakuna iliyobora msimu huu zaidi ya Simba na kwa mashindano ya ndani wanaweza kutetea ubingwa msimu huu.

Kwa maana hii, kitaifa Simba haina mpinzani  lakini kimataifa wanatakiwa kujipanga upya kwa mwakani na  sio mwaka huu,” alisema Zahera.

Simba wamefanikiwa kushinda michezo mitatu, huku wakitoka sare moja, tangu ligi hiyo ilipoanza Septemba 7, mwaka huu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -