Friday, December 4, 2020

ZAHORO PAZI AIKAMIA SIMBA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA SALMA MPELI,

KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City, Zahoro Pazi, amesema Simba wasitarajie kupata ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, Pazi alisema anaifahamu Simba vilivyo, hivyo atahakikisha anaifunga na kuondoka na pointi tatu.

Zahoro ambaye aliwahi kuichezea Simba, alisema wamejipanga kuhakikisha wanatibua hesabu za Wekundu wa Msimbazi za kuwania ubingwa wa msimu huu.

“Tumejiandaa vizuri kuelekea mchezo wetu, tumejipanga kuibuka na ushindi licha ya Simba kuwa nzuri, lakini kikosi chetu ni bora zaidi,” alisema Zahoro.

Kikosi cha Mbeya City kiliingia jijini Dar es Salaam juzi tayari kwa mchezo huo ambao ni muhimu kwa kila timu kushinda.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -