Wednesday, November 25, 2020

ZANACO WAONDOKA NA KAMUSOKO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MARTIN MAZUGWA

ZANACO wanaonekana kuondoka na kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko, baada ya kusema wanatakiwa kumchunga katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Timu hizo zinatarajia kurudiana Jumamosi wiki hii baada ya kutoka sare ya kufungana na bao 1-1 katika mchezo uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Akizugumza na BINGWA juzi, kiungo wa Zanaco, Zimiseleni Moyo raia wa Zimbabwe, alisema alifurahishwa na uwezo wa Kamusoko kwani wanatakiwa kumchunga katika mchezo wao wa marudiano.

Moyo alisema alifanya kazi kubwa eneo la katikati na wao kushindwa kupatisha mashambulizi, lakini baada ya kutolewa iliwapa mwanya wa kusawazisha matokeo.

“Mimi na Kamusoko ni kama ndugu tunatoka sehemu moja, tumekua pamoja namjua vizuri uwezo wake, lakini pia hata yeye ananijua,” alisema.

Alisema kutokana na ukaribu wao wa kutoka Zimbabwe anatamani siku moja kucheza naye tena uwanjani, kwani ni mchezaji mzuri na mwenye kipaji cha hali ya juu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -