Saturday, November 28, 2020

ZANZIBAR YAPEWA UANACHAMA CAF

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MWANDISHI WETU,

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limewapa uanachama wa kudumu Zanzibar, baada ya mkutano mkuu uliofanyika jana, Addisi Ababa nchini Ethiopia.

Uamuzi huo ulipitishwa na wajumbe  51 kati ya kura 54 zilizopigwa katika mkutano uliofanyika nchini humo.

Akizungumza na gazeti dada la BINGWA, MTANZANIA msemaji wa chama cha Soka Zanzibar (ZFA), Ali Bakar Cheupe, alisema nchi tatu ambazo ziliikataa Zanzibar kuwa mwanachama wa shirikisho hilo ni Benin, Madagascar pamoja na Sychelles.

Alisema Zanzibar kupata uanachama wa CAF utaweza kupata fursa mbalimbali zinazotokea ikwemo semina za waamuzi pamoja na utawala, ruzuku pamoja na ushiriki wa timu ya Taifa kwa michuano inayoandaliwa na shirikisho hilo.

Zanzibar ilikuwa wanachama wa shiriki tangu mwaka 2006 hadi leo ilipopatiwa uwanachama kamili wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika huko Ethiopia.

Msafara wa ZFA mbao ulienda Addis Ababa, uliongozwa na Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo, Rashidi Ali Juma, Rais wa ZFA, Ravia Idarous pamoja na makamu wake wote wawili Unguja na Pemba na Katibu Mkuu wa ZFA, mjumbe wa ZFA Pemba na Kaimu Mkurugenzi wa Ufundi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -