Sunday, November 1, 2020

Zidane ajishuku kufukuzwa Bernabeu

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane, amedai kuwa haogopi kutimuliwa katika klabu hiyo.

Zidane amesema hahofii suala hilo kwani anajua wazi kuwa hawezi kuliepuka katika kipindi chake chote cha maisha ya soka.

Zidane alichukua nafasi hiyo baada ya Rafael Benitez kutimuliwa na aliiongoza Madrid kuchukua taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Hata hivyo, alishindwa kuipa Madrid ubingwa wa La Liga baada ya kumaliza ligi ikiwa nafasi ya pili nyuma ya mabingwa Barcelona. “Siogopi kutimuliwa. Kwa vyovyote vile, suala hilo haliepukiki,” alisema Zidane.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -