Tuesday, October 27, 2020

ZULU NDANI YA NYUMBA KESHO UHURU

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

NA HUSSEIN OMAR

BAADA ya kilio cha muda mrefu cha mashabiki wa Yanga cha kutaka kumuona kiungo mkabaji, Justine Zulu akicheza, hatimaye kocha mkuu wa timu hiyo, Goerge Lwandamina, huenda akamwanzisha katika mchezo wao wa kesho dhidi ya Ndanda FC utakaopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Katika mazoezi yaliyofanyika juzi na jana, kocha huyo raia wa Zambia, alitumia takribani saa mbili na nusu kuwakimbiza wachezaji wake na kumwandaa Zulu tayari kwa mchezo wa kesho.

Kupitia mazoezi hayo, inaonekana wazi kwamba Lwandamina anaweza kumwanzisha Zulu kesho dhidi ya Ndanda na hivyo kuwapa mashabiki wao fursa ya kubaini kama ‘wamelamba dume au garasa’ kwa kumsajili kiungo huyo Mzambia.

Zulu mwenye umri wa miaka 27, amesaini kandarasi ya miaka miwili kuichezea Yanga akitokea Zesco United  ya Zambia na tangu ajiunge na timu hiyo amecheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -